Tuesday, June 12, 2012

Wema Sepetu's Crib

just incase you missed it the following pictures shows a housed owned by Wema
7 comments:

 1. ameonyesha mfano kwa mastaa wa kike wafate na wao nyao hizo tuone la maana wamefanya
  I real liked what wema did its a nice house kwakweli

  ReplyDelete
 2. she has really showed that na wengine wanatakiwa kuiga, God bless her

  ReplyDelete
 3. aah wapi waige kitu gani? aseme kapata wapi hela huko ni kudanganyana yani, wema huyu apate wapi hela ya kufanya mambo hayo kwa mda mchache? kuna tajiri kaamua kujilipua basi, msidanganye dada zetu ati kafanya jitihada , zipiii?

  ReplyDelete
 4. Jaman watu wakali, hiyo ni siri ya ofisi hawezi kutuambia but hata kwa hilo tunamsifu nani ameweza kufanya hayo? Wangapi tunawaona mjini wanabadili magari tu na nguo wanalala kwao? Chochote alichofanya ni chake but tumsifu kwa hili. Maoni yako yameheshimika lakini

  ReplyDelete
 5. Mmmmmmmmmmmmmh watanzania 2ache majungu hata kama kapata kwa umalaya ni malaya gani ameshawai kufanya hivi lazima apewe sifa Wema u rock it ............ Keep it up.

  ReplyDelete
 6. @Dorybabe kweli namie nasapot hilo we shouldnt laumu bila kusifia when a person amefanya jambo la maana but akikosea kama kawa ila kwa hili namsifu huyu dada

  ReplyDelete
 7. jamani awe amepewa au amezifanyia kazi, cha msingi nyumba ni yake. kwani hao wengine hawapewi? hongera mwaya. keep it up Wema.

  ReplyDelete