Monday, June 18, 2012

UKUMBI ULIMPOMLAZIMISHA DIAMOND KUMUIMBIA WEMA

ILIKUWA JUMAMOSI KWENYE REDDS MISS DAR CITY CENTER, UKUMBI ULIKUWA UNAMTAJA WEMA KILA DIAMOND ALIPOKUWA AKIIMBA HUSUSAN ULE WIMBO WA NIMPENDE NANI? ALIPOANZA NA NAMPENDA MPENDA jibu lilikuwaa WEMAAAAA....,IKAFIKIA MAHALA HATA SEHEM ZENYE JINA LA WEMA AKAIMBA JAJI SEPETU
WIMBO WA UKUMBINI ULIKUWA HIVI: “…asiwe kama Jaji Sepetu kila siku magazeti, ajue nidhamu na mila ya kwetu, mjuzi kupetipeti, simtaki ka’ Uwoya ni mtemi ana hasira, mpole kama … (akakaa kimya na kuacha mashabiki wakimalizia kwa kusema, Wemaaa).” Diamond akaendelea: “Ila sauti kama ya Jaji Sepetu akiwa analia, mpole kama … (akakaa kimya kwa mara nyingine na kuwaacha mashabiki wamalizie ambapo walisema kwa sauti za juu, Wemaaaaa.” Akiendelea kubadili mashairi ya wimbo wake huo, Diamond alidiriki kuacha baadhi ya majina ya warembo wengine aliowataja, Jokate na Fetty na kuingiza vipande ambavyo viliashiria kumwangukia mrembo huyo.

No comments:

Post a Comment