Wednesday, June 20, 2012

Azam new boat full kuenjoy

kwenda Zanzibar kwazidi rahisishwa hata kwa wale waoga 
boti hii itazinduliwa soon in July na itaanza kazi around hiyo hiyo July itakuwa na uwezo wa kubeba abiria, magari na mizigo

No comments:

Post a Comment